Wizi wa kwenye mabasi wanaswa na kamera ya bus la ABC

Wizi hua haufanywi na mtu mmoja hua ni mnyororo wa watu, hao unaowaona kwenye camera ni wale manyokaaa wa watekelezaji tu ila pwagu na pwaguzi mchora ramani ni wafanyakazi wa hlo basi na wanajua kila kitu

Acheni mawazo negative sio kila kitu kuwe na mchora ramani.mwizi kama mwizi anajichorea ramani peke ake asa kwenye magari
 
Nilipanda Mbeya City la kutoka Mbeya nikishukua Segera pale aisee hapo Moro wanapochimba dawa niliona watu wapo busy utadhani wapo machimboni nilichofanya nilishuka na begi dogo nikakaa nje kabisa kusubiri kinachofanyika wahuni kama wanne waliingia kwenye bus ila waliona kama watu hawaeleweki wakaamua kushuka ni wiki iliyopita tuu huwa wanakua na mabegi madogo kama wanatafuta seat ili wakate Tiketi nikashangaa sana mbona mbinu zao za kizamani sana na watu wanaohusika na hizo Bus hawajaweka ulinzi wowote zaidi ya kutangaza mzigo ulio ndani ya bus ni dhamana kwa abiria hii sio sawa aisee wahuni wanaiba mizigo kwa kuchukua tuu tena ukiangalia hata hiyo video wanasechi kabisa kabla hawajaiba wanajua mabegi ya Laptop na nguo Vima hao..
 
msemee kwa shem apigwe mpaka aongee yote😅
 
Duuuh hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…