B bnhai JF-Expert Member Joined Jul 12, 2009 Posts 2,832 Reaction score 2,390 Oct 26, 2021 #1 Huu wizi umekithiri. Tahadhari inahitajika. Kuna ushirikiano mkubwa kati ya makondakta na wezi. Nimeshuhudia wizi Happy nation na Frester. Kuweni makini
Huu wizi umekithiri. Tahadhari inahitajika. Kuna ushirikiano mkubwa kati ya makondakta na wezi. Nimeshuhudia wizi Happy nation na Frester. Kuweni makini
Zeddicus Zu'l Zorander JF-Expert Member Joined Aug 25, 2011 Posts 804 Reaction score 951 Oct 26, 2021 #2 Mimi Laptop yangu huwa nashuka nayo aisee, siamini ntu kabisa
wise boi JF-Expert Member Joined Aug 9, 2017 Posts 363 Reaction score 795 Oct 26, 2021 #3 Uzi wako haujakamilika mkuu. Elezea wanaibaje ili uwape watu elimu ya kujikinga
chizcom JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 8,680 Reaction score 18,035 Oct 26, 2021 #4 mabegi ambayo yana vifaa maalumu ni bora kukaa nalo kuliko kuweka juu siti.na kila mda unaitoa watu wakajua kunalaptop au vifaa muhimu.
mabegi ambayo yana vifaa maalumu ni bora kukaa nalo kuliko kuweka juu siti.na kila mda unaitoa watu wakajua kunalaptop au vifaa muhimu.
Anakata Senior Member Joined Aug 4, 2020 Posts 173 Reaction score 257 Oct 26, 2021 #5 Siachi negi ndani ya basi, kwanza unaambiwa kabisa mzigo wa ndani siyo dhamana Yao, unaachaje?!
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Oct 26, 2021 #6 KWANI HAKUNA TANGAZO ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO ova
Darcyy JF-Expert Member Joined Oct 26, 2021 Posts 2,432 Reaction score 9,758 Oct 26, 2021 #7 Vifaa vya muhimu km ivyo unatakiwa ukishuka kwenda msalani au kupata chakula, we shuka tu na begi lako. Dunia ya ss hakuna kumuamini mtu. Na ndiyo maana huwa wanasema kabisa mzigo wa ndani ulinzi ni juu yako abiria.
Vifaa vya muhimu km ivyo unatakiwa ukishuka kwenda msalani au kupata chakula, we shuka tu na begi lako. Dunia ya ss hakuna kumuamini mtu. Na ndiyo maana huwa wanasema kabisa mzigo wa ndani ulinzi ni juu yako abiria.
C CHECHEMLENDA JF-Expert Member Joined Sep 19, 2021 Posts 253 Reaction score 344 Oct 26, 2021 #8 Mimi ni muhanga wa haya matukio. Huu wizi umekithiri na inaonekana kuna uswahiba kati ya wezi na wafanyakazi wa mabasi.
Mimi ni muhanga wa haya matukio. Huu wizi umekithiri na inaonekana kuna uswahiba kati ya wezi na wafanyakazi wa mabasi.
Nkuruvi JF-Expert Member Joined Dec 1, 2014 Posts 623 Reaction score 647 Oct 26, 2021 #9 Ukiwa na Laptop kwenye basi, pakata begi lako mpaka ukifika. Wezi wengi sana kwenye mabasi
B bnhai JF-Expert Member Joined Jul 12, 2009 Posts 2,832 Reaction score 2,390 Oct 26, 2021 Thread starter #10 Ukiweka begi lako juu, linasukumwa taratibu mpaka linasogea then linaondoka. Pia wanapuliza dawa au kunusishwa kitu, then unasinzia.
Ukiweka begi lako juu, linasukumwa taratibu mpaka linasogea then linaondoka. Pia wanapuliza dawa au kunusishwa kitu, then unasinzia.
Cash Generating Unit JF-Expert Member Joined Jan 12, 2019 Posts 13,286 Reaction score 39,418 Oct 26, 2021 #11 Qmmk nilipigwa mac book pro yangu hivihvi dar lux pumbavu sana nyie.