tomoko
Senior Member
- May 2, 2012
- 106
- 28
Napenda kuwataarifu wale wakazi wa tabata kuwa makini na petrol station ya camel oil iliyopo sanene ambayo imeanza hivi karibuni kuwa wanamchezo wa kuiba mafuta pale wanapokuwekea. nasema hivi kwasababu mimi binafsi nimepatwa na tukio hili na nikaja kusikia tena kwa rafiki yangu kuwa rafiki yake nae alikuwa analalamika kuwa mafuta ailiyoweka yamekwisha kwa km chache tu tofauti na siku zote. Taarifa hii imfikie pia mmliki wa petrol station hiyo anaweza akawa hajui ila na tabia za wafanyakazi wake.