Wizi wa mafuta ya gari ktk petrol station

Wizi wa mafuta ya gari ktk petrol station

tomoko

Senior Member
Joined
May 2, 2012
Posts
106
Reaction score
28
Napenda kuwataarifu wale wakazi wa tabata kuwa makini na petrol station ya camel oil iliyopo sanene ambayo imeanza hivi karibuni kuwa wanamchezo wa kuiba mafuta pale wanapokuwekea. nasema hivi kwasababu mimi binafsi nimepatwa na tukio hili na nikaja kusikia tena kwa rafiki yangu kuwa rafiki yake nae alikuwa analalamika kuwa mafuta ailiyoweka yamekwisha kwa km chache tu tofauti na siku zote. Taarifa hii imfikie pia mmliki wa petrol station hiyo anaweza akawa hajui ila na tabia za wafanyakazi wake.
 
Asante kwa taarifa sitaenda kujaza mafuta pale. Kanzia sasa petrol station hiyo kwangu ni kituo cha polisi
 
Ebana huoni kama unawahalibia jama kaz huwez jua pengne hajui hyo isue au gal zenu mbovu?
 
gari yangu ni mpya na sio mbovu na ninauhakika na ninachokisema, inaonyesha hujui uchungu wa kuibiwa au kudhulumiwa,
 
Mimi nilishasign out kwa hivi vituo vya mafuta vya camel na hawa oilcom ni wezi wazuri sana
 
Jitahid ujaze mafuta yako BP nowdays Puma, au Total tu wengine wote hawaaminiki
 
Ndiyo maana mimi nilishajisemea nitakuwa naseviwa kiwese kwenye vidumu vyangu. foleni zenywewe hizi za mjini halafu Nyambafu mmoja anataka tubanane mbavu humo humo khaa !
 
Kuna jamaa aliweka full tank capacity lita 65 zikaingia 80 maeneo hayo hayo ya tabata kabla ya kufika bima kwenye kona ya kuelekea polisi quarters
 
Kwataarifa tu hata pale shell iliyo karibu namlimani city uwe makini mno!!Tena alietaka kunijeruhi nimwanamke akaona nimestuka akajidai hakuangalia mashine vizuri.
 
Ebana huoni kama unawahalibia jama kaz huwez jua pengne hajui hyo isue au gal zenu mbovu?
wizi upo na siyo camel tu. lakini pia nahisi bado uchakachuaji wa mafuta unaendelea kwa baadhi ya vituo.
 
Gari imetoboka tank
Kama umeibbiwa leta ushahidi wa receipt na pia vizuri kama ungeenda ongea na manager wa kituo husika umueleze
 
kama uwaamini anza kutembea na dumu la uhai la lita kumi na mbili unawekewa kwenye dumu halafu unajiwekea mwenyewe ndio njia madreva taxi naona wanafanya ila oilcom na camel oil ni wezi hatare..
 
Ndiyo maana mimi nilishajisemea nitakuwa naseviwa kiwese kwenye vidumu vyangu. foleni zenywewe hizi za mjini halafu Nyambafu mmoja anataka tubanane mbavu humo humo khaa !

Utauwa fuelpump mapema mno
 
Back
Top Bottom