Asante kwa taarifa sitaenda kujaza mafuta pale. Kanzia sasa petrol station hiyo kwangu ni kituo cha polisiNapenda kuwataarifu wale wakazi wa tabata kuwa makini na petrol station ya camel oil iliyopo sanene ambayo imeanza hivi karibuni kuwa wanamchezo wa kuiba mafuta pale wanapokuwekea. nasema hivi kwasababu mimi binafsi nimepatwa na tukio hili na nikaja kusikia tena kwa rafiki yangu kuwa rafiki yake nae alikuwa analalamika kuwa mafuta ailiyoweka yamekwisha kwa km chache tu tofauti na siku zote. Taarifa hii imfikie pia mmliki wa petrol station hiyo anaweza akawa hajui ila na tabia za wafanyakazi wake.
Ebana huoni kama unawahalibia jama kaz huwez jua pengne hajui hyo isue au gal zenu mbovu?
Id yako kwa kilugha changu mmuuuuuuuuEbana huoni kama unawahalibia jama kaz huwez jua pengne hajui hyo isue au gal zenu mbovu?
Jitahid ujaze mafuta yako BP nowdays Puma, au Total tu wengine wote hawaaminiki
wizi upo na siyo camel tu. lakini pia nahisi bado uchakachuaji wa mafuta unaendelea kwa baadhi ya vituo.Ebana huoni kama unawahalibia jama kaz huwez jua pengne hajui hyo isue au gal zenu mbovu?
Ebana huoni kama unawahalibia jama kaz huwez jua pengne hajui hyo isue au gal zenu mbovu?
Mimi nilishasign out kwa hivi vituo vya mafuta vya camel na hawa oilcom ni wezi wazuri sana
gari yangu ni mpya na sio mbovu na ninauhakika na ninachokisema, inaonyesha hujui uchungu wa kuibiwa au kudhulumiwa,
Ndiyo maana mimi nilishajisemea nitakuwa naseviwa kiwese kwenye vidumu vyangu. foleni zenywewe hizi za mjini halafu Nyambafu mmoja anataka tubanane mbavu humo humo khaa !
Jitahid ujaze mafuta yako BP nowdays Puma, au Total tu wengine wote hawaaminiki