DOKEZO Wizi wa mita za maji, mita hizi zinapelekwa wapi?

DOKEZO Wizi wa mita za maji, mita hizi zinapelekwa wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wanapeleka kwa mwaandika hivyo vibao ili amwandikie mtu mwingine baada ya kumlipa pesa.
Daah sasa sisi inakuaje huku maana nyumba nyingi wamevichomoa na hua wanavibandua usiku wanaondoka navyo ukiamka asubuhi huvikuti,
 
Mita zimetengenezwa kwa pure copper,ni dili sana kwa chuma cha kavu,umefika muda sasa wa kutengeneza mita za pastiki
 
Zimepita siku mbili sasa sina huduma ya maji, hii ni baada ya kuibiwa mita ya maji na wezi usiku. Walifika wakafungua mita ya maji kisha wakaondoka nayo...
Kwa haraka haraka tu huo ni mchezo unaofanywa na hao wafanyakazi wa idara ya maji.
 
FatherOfAllSnipers
Uwezo wa kukulipa elfu 90 hauko kwenye ratbag yangu
Ila una udhoefu na kazi za ulinzi au umeamua tu kutaka kujaribu kazi hizi?
Sina uzoefu na kazi za ulinzi mkuu.
Nina uzoefu na mambo ya kilimo na ufugaji. Maana nimekulia kwenye hayo mazingira.
Ila nikipata kibarua chochote itapendeza.
Malipo hata yakiwa kwa siku, wiki au mwezi.
 
ndani ya mada ndogo ya bandiko lako

idara ya maji katavi wapumbavu sana kila mwezi wanakata service charge cha kushangaza ukipata tatizo lq kuvuja maji ama mfanano wake wanataka bado uwape hela wakulejeshee huduma na vifaa ununue pumbavu sana.
 
IDARA ZA MAJI MAENEO HUSIKA NDIO WEZI WENYEWE WA HIZO MITA... WAKIJA KUKUFUNGIA MITA WAKIRUDI WANAUZA RAMANI KWA VISHOKA WAO WANAKUJA KUIBA...
 
naomba kuuliza izi mita za dawasa au mamlaka za maji za umma/serikali na izi tunazotumia sisi wengine za elfu 25 za maji ya msikitini tunayounganishiana ya visima ni tofauti maana nimestuka kuskia mita dawasa wakitaka laki 2!
 
Back
Top Bottom