Wizi wa mtandao: Akaunti za Twitter za Bill Gates na Elon Musk zadukuliwa, mamilioni ya dola yaibiwa

Wizi wa mtandao: Akaunti za Twitter za Bill Gates na Elon Musk zadukuliwa, mamilioni ya dola yaibiwa

Kumbe wazungu nao "wajinga".
Kumbe nao wanaweza ibiwa kwa mfumo wa tuma 1000 nikupe 10000.
Sasa kijana yani apo ni sawasawa apa bongo account ya dewji ya twitter ipost tuma laki kwa namba hii nitarudisha laki 2
 
Walituma na za kutolea? au walikua wanasuburi double 😁
 
Back
Top Bottom