A Anonymous Guest Jun 14, 2025 #1 Kuna watu wanauza bidhaa Instagram,lakini kumbe ni matapeli na wezi. Nashauri kuwa makini sana na watu wote wanaofanya biashara online. Mimi binafsi nimetapeliwa na Dada anajiita queen Zipporah IG.
Kuna watu wanauza bidhaa Instagram,lakini kumbe ni matapeli na wezi. Nashauri kuwa makini sana na watu wote wanaofanya biashara online. Mimi binafsi nimetapeliwa na Dada anajiita queen Zipporah IG.
Nomadiq JF-Expert Member Joined Jan 5, 2025 Posts 8,572 Reaction score 22,926 Jun 14, 2025 #2 Sawa ahsante kwa taarifa, pole mkuu.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jun 14, 2025 #3 Inasikitisha sana... Cc; Mahondaw
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,270 Reaction score 111,361 Jun 14, 2025 #4 Ingependeza kama wakiwa wanatajwa kwenye comments au hapo juu kwenye uzi...
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 14, 2025 #5 Pole
Mr Devil JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 15,410 Reaction score 35,923 Jun 14, 2025 #6 90% ya wanao lipia Ads Ig ni weziiiii