KERO Wizi wa rejareja afanyiwao mkulima katika manunuzi ya mbolea za Ruzuku kanda ya Ziwa

KERO Wizi wa rejareja afanyiwao mkulima katika manunuzi ya mbolea za Ruzuku kanda ya Ziwa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Jerry Farms

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2022
Posts
202
Reaction score
167
Tunaomba wizara husika itutolee ufafanuzi juu ya bei ya ruzuku ya mbolea : Mfano sms hapo chini👇🏾👇🏾
Ndugu XXXXXX Na. ------- umenunua DAP - 50 KG idadi 1 Tsh76701.33 kwa [TFRA-06----1] Kama hutambui manunuzi haya piga namba: 0800110153/4

NOTE: Bei anayopewa mkulima ni hio 76,701.33 ila ki uhalisia mkulima anakazwa Tshs. 77000.Je hii ziada ya Tsh. 300 kwa kila mfuko, serikali ni kweli haina taarifa nayo. Je, ni mpango wa serikali kuikata ama ni mawakala wana tuchinja sisi wakulima tusio na sauti.

Wahusika, tunaomba mtupatie ufafanuzi.

Ni Sisi wakulima wa kanda ya ziwa,. Wasalaamu.
 
Back
Top Bottom