Wizi wa Savings Account

Wizi wa Savings Account

laussane

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2009
Posts
255
Reaction score
132
Habari zenu, najua hili sio jukwaa la biashara, lakini kwa mada hii naweza kuwa nimewasaidia na kuwakomboa wana JF hasa members wenzangu wa MMU, Wanajamvini, nina account na NBC kwa muda mrefu sana, lakini 3 months ago nime experience kuibiwa pesa, hizi pesa zinapotolewa inaandika POS. INTL. NORMAL PURCHASE. REMOTE ON US, wanachomoa kidogo kidogo, wanaweza wakatoa leo 30,000, keshokutwa 65,000, next week 80,000/= najua watanzania hatunaga tabia ya kuangalia bank statement zetu, nawashauri zipitieni mnaweza mkakutana na majanga haya na mkajua mnaanzia wapi, cha kushangaza unakuta haujaregister online banking, ATM card yako upo nayo full time lakini pesa zinachomoka bila kuelewa, not only that but also hauna share ya ATM card or password na mtu yeyote
 
SAVINGS ACCOUNT sio SERVINGS

POS=point of sales kama supermarket,duty free shops etc ambako unatumia card kununua vitu,hujawahi kutumia kadi yako huko?
 
Asante mkuu

Sijawahi kutumia card huko mimi ni ATM tu, supermarket huwa naenda na cash

SAVINGS ACCOUNT sio SERVINGS

POS=point of sales kama supermarket,duty free shops etc ambako unatumia card kununua vitu,hujawahi kutumia kadi yako huko?
 
Leo kilio cha kubiwa benki kimetawala maana kuna na wa CRDB ametoa lalamiko lake hapa japo ni kwa sura nyingine. Jamanai xmas na January ada zimaacha watu weupe so njia mbadala ni account zetu!!! Wezi sana bank usipokuwa na ufuatiliaji!!! Mimi mishahara yangu kama mitatu ilishagoma kuingia account, sasa taasisi ilipoenda kufuatili basi mara or tulipeleka wrong account benki Fulani mara vile mara huku. So ni majanga, statement kila mwezi kamata ni haki yako.
 
Kweli Zogwale Statement ni muhimu sana, otherwise unaweza kukuta account inasoma balance 0

Leo kilio cha kubiwa benki kimetawala maana kuna na wa CRDB ametoa lalamiko lake hapa japo ni kwa sura nyingine. Jamanai xmas na January ada zimaacha watu weupe so njia mbadala ni account zetu!!! Wezi sana bank usipokuwa na ufuatiliaji!!! Mimi mishahara yangu kama mitatu ilishagoma kuingia account, sasa taasisi ilipoenda kufuatili basi mara or tulipeleka wrong account benki Fulani mara vile mara huku. So ni majanga, statement kila mwezi kamata ni haki yako.
 
tena ma officer wengi tu wanatafutwa na polisi baada ya kufanya wizi wa li electronik kwenye banks wanazofanyia kaz kupitia akaunt mbalimbali ambazo hazitumiki mara kwa mara!
 
Mimi nadhani tuache tabia ya kuwapa kadi zetu za benki marafiki zetu tulio soma nao O-leve/ A-leve/CHUO kwa lengo la kukwepa foleni benki au kuharakisha mambo, make zile no za kadi zinatosha yeye kukupiga mzinga. Pia hawa fanyakazi wa benki huwa tunawakopesha huku kitaa kama Tshs 100,000, 500,000 nk wasitulipe kwa kuwapatia majina yako ya Card za benki au no ya A/c. Mm kuna mmoja alijaribu huo mchezo nika mkatalia.
 
Habari zenu, najua hili sio jukwaa la biashara, lakini kwa mada hii naweza kuwa nimewasaidia na kuwakomboa wana JF hasa members wenzangu wa MMU, Wanajamvini, nina account na NBC kwa muda mrefu sana, lakini 3 months ago nime experience kuibiwa pesa, hizi pesa zinapotolewa inaandika POS. INTL. NORMAL PURCHASE. REMOTE ON US, wanachomoa kidogo kidogo, wanaweza wakatoa leo 30,000, keshokutwa 65,000, next week 80,000/= najua watanzania hatunaga tabia ya kuangalia bank statement zetu, nawashauri zipitieni mnaweza mkakutana na majanga haya na mkajua mnaanzia wapi, cha kushangaza unakuta haujaregister online banking, ATM card yako upo nayo full time lakini pesa zinachomoka bila kuelewa, not only that but also hauna share ya ATM card or password na mtu yeyote

Nenda kwa branch manager ulizia vizuri utapata mpaka location zilipotumika hiyo pesa, usikibilie kulaumu bank, naona transaction zingine hapo ni kama za nje ya Tanzania, ongea vizuri na bank yako mzibe ufa kabla haujaumia zaidi. Kama unatumia VISA au MASTERCARD ujue uko vurnerable tu hata kama haujaiwezesha kadi yako kutumika online, nna mashaka fraudsters wameshaskim info za kwenye card yako wanazitumia mdogomdogo. Pole dada.
 
Mimi nadhani tuache tabia ya kuwapa kadi zetu za benki marafiki zetu tulio soma nao O-leve/ A-leve/CHUO kwa lengo la kukwepa foleni benki au kuharakisha mambo, make zile no za kadi zinatosha yeye kukupiga mzinga. Pia hawa fanyakazi wa benki huwa tunawakopesha huku kitaa kama Tshs 100,000, 500,000 nk wasitulipe kwa kuwapatia majina yako ya Card za benki au no ya A/c. Mm kuna mmoja alijaribu huo mchezo nika mkatalia.

Hebu fafanua kidogo hapo kwenye nyekundu sijakuelewa.
 
Kuna kitu kinaitwa card skimming. Hiki kimeibuka sana siku hizi hasa baada ya kuanza kwa mastercard na visa card kwenye mabenki yetu. What happens ni kwamba wezi wa mitandao wanafix devices kwenye atms that captures your details zon the card. Af wanaweka na powerful cameras that capture your password as you enter it on the keyboard. Baada ya hapo wana-duplicate card yako then wanaanza kupiga pesa. Hizi nyingi huchukuliwa kupitia pos au transactions zinafanyika nje. Nyingi sana zimefanyika bulgaria na baadhi ya nchi za south america.
Ukiangalia statement yako utakuta kwa mfano in a day zimetolewa amount ambazo ni kubwa kuliko daily limit ya kutoa hela kwenye atm au zinatoka tofauti na mazoea ya combination ya what an atm can give. Mf. 321,524. You cannot get this amount from atm.

Ushauri
Kama alivosema mchangiaji hapo juu, kuwa na mazoea ya kuangalia statement yako. Benki nyingi hutoa monthly statements for free
Ukiona such type of transactions waone branch husika, wakizingua nenda head office husika
Watafanya investigation zao then wakiridhika watakurudishia hela yako, kwao inakula au wanadai a portion from insurance
Ukiona strange marks or fixes on any atm basi usiitumie coz inaweza kuwa ni card reader imekuwa fixed. Mf taa ya mahali pa kupitisha card haiwaki, kuna kitu kama device kimeongezwa juu ya atm
Benki kadhaa wamejaribu ku-instal anti skimming devices and software ila bado hazijawa very effective coz hawa wezi nao wana-evolve kila siku
Another solution ni kuanzisha sms alert ambayo inakutumia msg mtumiaji kwamba account yako imekuwa debited so kama sio wewe unaweza kutoa taarifa haraka na ukaweza kuzuia further theft mapema. Ndio mana benki nyingi zinafanya uboreshaji wa taarifa za wakopaji ili hiyo sms isiende kwa wrong person

I will try to share some photos of how the devices could be fixed on atms nikizipata mahali
 
Uko sahihi.
 
Umamaliza kila kitu mkuu. Hongera sana kwa maelezo fasaha.
 
Mi nilishawahi kuibiwa pesa barclays lkn tangu nimejisajili na sms hawajaweza kuiba tena kwani hela ikitoka au kuingia napata sms kwenye mobile yangu hapohapo. Jaribuni na nyinyi wa Nbc !

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom