laussane
JF-Expert Member
- Oct 8, 2009
- 255
- 132
Habari zenu, najua hili sio jukwaa la biashara, lakini kwa mada hii naweza kuwa nimewasaidia na kuwakomboa wana JF hasa members wenzangu wa MMU, Wanajamvini, nina account na NBC kwa muda mrefu sana, lakini 3 months ago nime experience kuibiwa pesa, hizi pesa zinapotolewa inaandika POS. INTL. NORMAL PURCHASE. REMOTE ON US, wanachomoa kidogo kidogo, wanaweza wakatoa leo 30,000, keshokutwa 65,000, next week 80,000/= najua watanzania hatunaga tabia ya kuangalia bank statement zetu, nawashauri zipitieni mnaweza mkakutana na majanga haya na mkajua mnaanzia wapi, cha kushangaza unakuta haujaregister online banking, ATM card yako upo nayo full time lakini pesa zinachomoka bila kuelewa, not only that but also hauna share ya ATM card or password na mtu yeyote