WIZI WA SIMU

WIZI WA SIMU

Habari wakuu!

Kuna kibaka mmoja kaiba simu yangu jana usiku ila bado anaitumia. Kwa bahati nzuri simu ina PIN sema anaweza kuiflash.

Tatizo tukiipiga namba inapokelewa na mtu anajifanya kauziwa hiyo simu na aliyemuuzia anamjua, tatizo tukimwambia tuonane atupeleke kwa huyo aliyemuuzia anatuletea siasa nyingi halafu anataka kwanza nimpe PIN yangu ya simu ili aweze kunipigia tukitaka kuonana kwenda kumfata huyo aliyemuuzia.

IMEI ya simu ninaijua na Namba yangu hajaitoa kwenye simu mpaka sasa.

Nimeenda Kituo cha Polisi amenishauri tu niiblock laini basi ila simu niisahau.

Naomba ushauri wenu nini cha kufanya. Maana simu nimenunua Bei kidogo.
Mmh yani police wanakushauri hivyo?
 
Kuna member anaitwa BUMIJA alikua anamfuatilia hatua kwa hatua aise akat anatoka kigoma ktk ule uzi wake kikubwa lain iwe hewan tu mtafute anaweza akakusaidia pia alitaja ile App inaitwa HD TECHNOLOGY nazan ni App yakulipia
Dah, nimepata notification kuwa umenitag kwenye uzi wa "Wizi wa Simu"
Nikasema 'vipi tena'
Kumbe hakuna tatizo.
 
MUAWAGE MNATUMIA MOBILE TRACKER.

Mtu akiiba simu yako very easy kumkamata mpk picha yake unaweza kuipata bila shida yoyote
Ukishaflash simu mobile traler haifanyi lolote
 
Doh ni process kidogo kwa kuandika hapa but nenda YouTube andika how to use mobile tracker.
Ni bure.
Note:usije ukaweka kwenye cm ya mwingine maana utakuwa unapata information zake
Tafadhali 2elezee inavyofanya kaz mkuu naje ni App yakununu au free nakama niyakununua unalipa kwamtindo gani
 
Habari wakuu!

Kuna kibaka mmoja kaiba simu yangu jana usiku ila bado anaitumia. Kwa bahati nzuri simu ina PIN sema anaweza kuiflash.

Tatizo tukiipiga namba inapokelewa na mtu anajifanya kauziwa hiyo simu na aliyemuuzia anamjua, tatizo tukimwambia tuonane atupeleke kwa huyo aliyemuuzia anatuletea siasa nyingi halafu anataka kwanza nimpe PIN yangu ya simu ili aweze kunipigia tukitaka kuonana kwenda kumfata huyo aliyemuuzia.

IMEI ya simu ninaijua na Namba yangu hajaitoa kwenye simu mpaka sasa.

Nimeenda Kituo cha Polisi amenishauri tu niiblock laini basi ila simu niisahau.

Naomba ushauri wenu nini cha kufanya. Maana simu nimenunua Bei kidogo.
Kama ina gmail ndani yake na nna amini inayo, ingia kwenye find my device, kama kawasha data mchezo umeisha utapiga picha yake, uta locate simu ilipo, utaifuta data, utapiga siren nk.

Na huwa inashauriwa ukinunua tu simu ya android unganisha na google find my device.
 
Ndiyo maana huwa napenda kui-hack simu yangu. Nilishajutia

Ili ikipotea au nikiibiwa nimpate aliye ichukua.

Tatizo watu huwaza ku hack simu za wapenzi wao tu.
Tafadhar Nifundishe mkuu jinsi ya ku hack.
 
polisi gani hao wanaongea upupu huo kwa simu ambayo mwizi anaitumia, namba inajulikana, imei inajulikana, mm niliiibiwa simu sikufaham imei na namba ilitupwa, waliniomba tuu namba nilizokua nazipigia mara kwa mara nikaipataa, badilisha kituo hao wazinguajii
 
Poa Mkuu ngoja niende kituo chengine
 
Kama ina gmail ndani yake na nna amini inayo, ingia kwenye find my device, kama kawasha data mchezo umeisha utapiga picha yake, uta locate simu ilipo, utaifuta data, utapiga siren nk.

Na huwa inashauriwa ukinunua tu simu ya android unganisha na google find my device.
una unganishaje mkuu
 
polisi gani hao wanaongea upupu huo kwa simu ambayo mwizi anaitumia, namba inajulikana, imei inajulikana, mm niliiibiwa simu sikufaham imei na namba ilitupwa, waliniomba tuu namba nilizokua nazipigia mara kwa mara nikaipataa, badilisha kituo hao wazinguajii
Ulitumia shilingi ngapi?
 
na kweli ni swali gumu..Samsung note 4
1. Nenda kwenye "settings" ya simu yako.

2. Tafta sehemu ilioandikwa google (google settings) angalia shots

3. Tafta ilipoandikwa "Security" Tazama screen shot

Kuanzia hapo anza kuset sidhan kama utashindwa.
Screenshot_20190601-132831_Settings~2.jpeg
Screenshot_20190601-132442_Google%20Play%20services.jpeg
Screenshot_20190601-132607_Google%20Play%20services.jpeg
Screenshot_20190601-132449_Google%20Play%20services.jpeg
 
Doh ni process kidogo kwa kuandika hapa but nenda YouTube andika how to use mobile tracker.
Ni bure.
Note:usije ukaweka kwenye cm ya mwingine maana utakuwa unapata information zake
Sorry naomba icon ya hiyo Mobile tracker...nimekutana nazo nyingi it's confusing now.
 
polisi wa Tanzania ovyo sana wanaweza tu kufatilia simu ambazo zinakashifu viongozi wengine wapuuzi ni tcra wamekaa kutoa matamko badala ya kudili na wezi wa simu
 
Back
Top Bottom