Wizi

Wizi

bless12

New Member
Joined
Oct 5, 2024
Posts
1
Reaction score
0
TANGAZO LA KUIBIWA

Ningependa kuwataarifu umma kuwa nimeibiwa vitu vifuatavyo:

1. Laptop (2)

Aina: "HP Pavilion, & HP Hewlett

Rangi: ( moja ina rangi ya kijani na nyingine ina rangi ya silver

2. Vyeti vya Taaluma

*cheti cha Diploma in records and archives management
*cheti cha computer
*cheti cha kuzaliwa
*Cheti cha form 4

Jina la mwenye cheti: (BARAKA KATONO OKIDI)


Mahali na Tarehe ya Tukio
Vitu hivi viliibiwa mahali: (SHIRATI KABWANA)
Tarehe: (2/11/2024) saa 11:00 alfajiri

*Mawasiliano
Ikiwa mtu yeyote ana taarifa kuhusu vitu hivi, tafadhali wasiliana nami kupitia namba: 0628368194
0767598223

Imetolewa na
BARAKA KATONO OKIDI
 
Back
Top Bottom