joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Si wanasema ukimpa mkono anaichukua nyota yako? Wiz kampa mkono na alienda mpaka home kwa Sadala Madale.Wiz alikuwepo anang'ara toka zamani labda useme kwa bongo wengi walikuwa hawamjui! Ila sio kusema eti sadala kumtangaza kwao na dunia nzima