Wizkid ajaza ukumbi wa 02 Arena

Xavi Hernandez Alcantara

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2019
Posts
278
Reaction score
285
Mwenyewe anajiita StarBoy. Usiku wa kuamkia leo alikuwa pande za U.K katika ukumbi maarufu wa 02 Arena. Wizkid aliujaza wote (20000) na tiketi zote zilikuwa Sold Out.


Hii inafanya msanii wa kwanza Afrika kuujaza ukumbi huo kwa Back to Back. Yani hiyo ni mara ya pili na mara zote tiketi zilikuwa Sold Out before Concert.



Tumezoea kuiona 02 Arena Ikijazwa na wasanii kama Chris Brown, Beyonce, Rihanna, Ariana Grande, Future n.k


STAR BOY NI MOTO WA KUOTEA MBALI.



Tunakwama wapi wabongo?
 
Mbona diamond mwaka Huu amejaza ukumbi mkubwa wa Columbus wa inchini Germany ambao kabla ajafanya yeye show hakuna msanii yoyote wa Africa aliyefanya hivyo na ticket zote zilikuwa sold out.sema kwa Tanzania hatuna wasanii wengi wanaofanya vizuri compare to Nigeria ukiachana na diamond wengine unawatafuta kwa tochi.
 
0 2 si mchezo mzee ndugu.
 
Video ya ushahidi wa huu uongo
 
Eti mbona [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Usishangae mkuu Mzungu hana kazi zaidi ya kutafuta viwanja vya starehe.
 
Wabongo uchawi mwingi. Watakuja mbio kukubishia. Ila mwanzisha uzi kuhusu wizkid watakubali kwa vigeregere kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…