Xavi Hernandez Alcantara
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 278
- 285
Mwenyewe anajiita StarBoy. Usiku wa kuamkia leo alikuwa pande za U.K katika ukumbi maarufu wa 02 Arena. Wizkid aliujaza wote (20000) na tiketi zote zilikuwa Sold Out.
Hii inafanya msanii wa kwanza Afrika kuujaza ukumbi huo kwa Back to Back. Yani hiyo ni mara ya pili na mara zote tiketi zilikuwa Sold Out before Concert.
Tumezoea kuiona 02 Arena Ikijazwa na wasanii kama Chris Brown, Beyonce, Rihanna, Ariana Grande, Future n.k
STAR BOY NI MOTO WA KUOTEA MBALI.
Tunakwama wapi wabongo?