Huyo mwanzisha uzi mbona hujamdai video ya ushahidi wa wizkid?. Au kwa sbb tu diamond ni mbongo?. Wabongo tunapigana uchawi wenyewe. Pamoja na uchawi wote dogo amewaacha mbali saaana wachawi wote. Alijaza ukumbi
kawaida sana kwa wabongo,,wanataka mtu aanguke wamponde au afe ndo waje na sifa zake zakujaza counterbook,wenzetu wanathamini sana vya kwao lkn kwetu ni kukesha kuomba afulie,,,,,,maza fanta.....Huyo mwanzisha uzi mbona hujamdai video ya ushahidi wa wizkid?. Au kwa sbb tu diamond ni mbongo?. Wabongo tunapigana uchawi wenyewe. Pamoja na uchawi wote dogo amewaacha mbali saaana wachawi wote. Alijaza ukumbi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Wana roho mbaya kupitiliza. Wabongo hawataki mwingine atusue. Hawajui wizkid mpaka hapo alipofikia,anapata sapot kubwa sana kuanzia kwao Nigeria.kawaida sana kwa wabongo,,wanataka mtu aanguke wamponde au afe ndo waje na sifa zake zakujaza counterbook,wenzetu wanathamini sana vya kwao lkn kwetu ni kukesha kuomba afulie,,,,,,maza fanta.....
Mbona rahisi sana ingia you tube andika tu Diamond ujerumani show. Uone alivyojaza uwanja. Na zipo kibao tu. Nawa-dis sana wanaochukia vya kwao. Huyo wizkid wanaanzia kwao kumsapot. Hapa mjaa wanga tuSababu tumeziona video you tube. Za domo hazipo. Tuletee basi
Mbona rahisi sana ingia you tube andika tu Diamond ujerumani show. Uone alivyojaza uwanja. Na zipo kibao tu. Nawa-dis sana wanaochukia vya kwao. Huyo wizkid wanaanzia kwao kumsapot. Hapa mjaa wanga tu
Mbona kama unaumia Bure ndugu. Stop Hanting jamaa yupo gud. Mziki wa Afrika kaubeba. Na anaendelea kuuupeleka Mbele yeye na DavidoMbona rahisi sana ingia you tube andika tu Diamond ujerumani show. Uone alivyojaza uwanja. Na zipo kibao tu. Nawa-dis sana wanaochukia vya kwao. Huyo wizkid wanaanzia kwao kumsapot. Hapa mjaa wanga tu
Mm Nimtumia hapo juu aone balaa la Wizkid.Acha kulia lia tuletee hapa
Kuwa mwanga raha
Mm Nimtumia hapo juu aone balaa la Wizkid.
Mbona kama unaumia Bure ndugu. Stop Hanting jamaa yupo gud. Mziki wa Afrika kaubeba. Na anaendelea kuuupeleka Mbele yeye na Davido
mkuu unajua hawa jamaa wanatoboa sana Coz lugha rafiki kwao. Rejea katika Lion King ile Album ya Beyonce utaamini.Wabongo tunafeli kwenye lugha, tunakidanganya kuwa tunakuza kiswahili lakini tunadanganyana.
Tuanze kuuimba kingereza kwanza
Ohooo uko simoDomo wao busy kuzalisha east africa nzima..busy kuweka bifu na baby mama zake