Wizkid ajaza ukumbi wa 02 Arena

Wizkid ajaza ukumbi wa 02 Arena

Sababu tumeziona video you tube. Za domo hazipo. Tuletee basi
Huyo mwanzisha uzi mbona hujamdai video ya ushahidi wa wizkid?. Au kwa sbb tu diamond ni mbongo?. Wabongo tunapigana uchawi wenyewe. Pamoja na uchawi wote dogo amewaacha mbali saaana wachawi wote. Alijaza ukumbi
 
kawaida sana kwa wabongo,,wanataka mtu aanguke wamponde au afe ndo waje na sifa zake zakujaza counterbook,wenzetu wanathamini sana vya kwao lkn kwetu ni kukesha kuomba afulie,,,,,,maza fanta.....
 
Wana roho mbaya kupitiliza. Wabongo hawataki mwingine atusue. Hawajui wizkid mpaka hapo alipofikia,anapata sapot kubwa sana kuanzia kwao Nigeria.
 
Kwa Mara nyingine..hongera kwake.
 
Ingieni you tube uone Diamond alivyojaza uwanja ujerumani
 
Acha kulia lia tuletee hapa

Kuwa mwanga raha
Mbona rahisi sana ingia you tube andika tu Diamond ujerumani show. Uone alivyojaza uwanja. Na zipo kibao tu. Nawa-dis sana wanaochukia vya kwao. Huyo wizkid wanaanzia kwao kumsapot. Hapa mjaa wanga tu
 
Mbona kama unaumia Bure ndugu. Stop Hanting jamaa yupo gud. Mziki wa Afrika kaubeba. Na anaendelea kuuupeleka Mbele yeye na Davido
 
Kid
 
Attachments

  • d934510323082a3448717992bd92f4ba.jpg
    d934510323082a3448717992bd92f4ba.jpg
    52 KB · Views: 2
Wabongo tunafeli kwenye lugha, tunakidanganya kuwa tunakuza kiswahili lakini tunadanganyana.

Tuanze kuuimba kingereza kwanza
 
mkuu unajua hawa jamaa wanatoboa sana Coz lugha rafiki kwao. Rejea katika Lion King ile Album ya Beyonce utaamini.
 
Back
Top Bottom