Wizkid ambwaga Alikiba, ashinda Mtv Ema Award

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Hatimaye mshindi wa mtv ema ametangazwa hivi punde kipengele cha african act huku Wizkid akitangazwa mshindi.
Alikiba aliekuwa na matumaini makubwa kushinda ameangukia pua
Wizkid amewashinda
Cassper nyovest
Olamide
Black coffie
Alikiba
Mwaka jana mshindi alikuwa Diamond platnumz
 
Naona nazeeka sasa. Mfalme(king) afande sele na diomond walishiriki huko?
Afande sele anawimbo wake enzi zile ulibamba Sana 'acha kupiga mayowe acha wayaone wenyewe'
 
Pole Nifah [emoji23] [emoji23] [emoji23]

kumbukumbu muhimu;
1. Diamond Platnumz msanii pekee wa kiafrika kushinda tuzo mbili za MTV EMA kwa usiku mmoja.

2. Diamond Platnumz Msanii pekee wa kiafrika kushinda kipengele cha MTV Ema Best worldwide Act.

3. Ali kiba msanii pekee wa kiafrika kutulingishia na kutunyima usingizi kwa kuwa nominated tu MTV EMA.
(Natania tu [emoji41] nilitamani airudishe tuzo nyumbani)
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Narudia tena na tena na tena
Izi timu zinawamaliza wasanii wetu
 
Muda upo nafasi bado ipo, Ali kiba ajipange zaidi mwakani aongeze juhudi na yeye atafanikiwa. Juhudi ziongezwe zaidi hata kwa wasanii wengine kama Navy Kenzo, Vmoney nk

*mwaka huu umekuwa mzuri kwa wizkid tumeona tangu MTV Mama baada ya kumuangusha Diamond Platnumz na sasa MTV Ema anamuangusha Ali Kiba.
 
angeshinda joketi angewalambisha ndimu hadi wakome
Maana yake sio kwa povu lile huko instagram leo!!
 
Kiba kila anapotia pua patupu!Kiba ni wa fiesta na tuzo za kilimanjaro tu
 
Team yake walikua hawalali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…