Wizkid ambwaga Alikiba, ashinda Mtv Ema Award

Wizkid ambwaga Alikiba, ashinda Mtv Ema Award

Mtachonga sana juu ya king hiyo ni kama game tu muache shobo
 
Hhhhh muosha huoshwa nilitarajia hili litokee vivaa wizkidayo
 
LEO NI SIKU YANGU YA FURAHA KWA KWELI,NIMEFURAHI KULIKO MAELEZO,WALIKUWA WANAJITAPA KABLA HATA YA KUPATA KELELE NYINGIIIIIIII HAKUNA LOLOTE ALIDHANI HIZI NI KTMA. MWENYE HADHI NAZO NI DIAMOND TU KWA AFRICA NZIMA.

images
 
KWANI MWAKA HUU HAKUNA "TUZO ZA WATU" APATE HATA MOJA
 
LEO NI SIKU YANGU YA FURAHA KWA KWELI,NIMEFURAHI KULIKO MAELEZO,WALIKUWA WANAJITAPA KABLA HATA YA KUPATA KELELE NYINGIIIIIIII HAKUNA LOLOTE ALIDHANI HIZI NI KTMA. MWENYE HADHI NAZO NI DIAMOND TU KWA AFRICA NZIMA.

images
Amechukua wap tena ndg?
 
Hivi kweli kuondoa mahaba yetu, Kiba unaweza kumshindanisha na Wizzy?
Tuachage utani....
 
Hapo ndio ujue diamond platnumz ana fan base kubwa, jah preyhah wa Zimbabwe amesema moja ya sababu iliyochangia yy kushinda tuzo ya MTV mwaka huu ni collabo aliyoifanya na diamond platnumz (aliandika ktk page yake insta) , ukija kwa akothee kushinda tuzo mbili AFRIMMA na AEA kumechangiwa kwa kiasi fulani na diamond platnumz, najua hamtakubali ila effects ya diamond platnumz ni kubwa sana, Pata picha mwaka jana yy alishinda tuzo MTV EMA AFRICA na WORLDWIDE pamoja na upinzani wa team wema, team joketi, team kiba na team UKAWA (sababu aliisapoti ccm) lkn akashinda. Huu upuuzi wenu mliouanzisha wa kumshusha diamond platnumz ili kumpandisha kiba leo ndio umewagharimu na utaendelea kumgharimu kiba
 
2b52996283168c036362a484bf0192c5.jpg

8bf68c9c06310af095b60bb992f56bd3.jpg


Maskini kimando kipensi jana yenye shutu imembana hata kunyoosha mkono kashindwa n kura zote walizokuwa wanapiga hii team ya babu kiba wamekufa tuzo
Iv kumbe ni kweli nimeona hii pic ndo nimeamini nguo ilikua ndogo
 
Doh...
Roho inaniuma sana...
Yaani kumpigia KURA kote Olamide lakini amekosa TUZO..!
 
Hebu wabongo tuwe siraz, kama Wiz Kid alimshinda Platnumz kwenye MTV MAMA , Ali Kiba angeponaje!!!

Kwanza Ali, ali ingia kuwa nominee kwa kigezo kipi!!? Nadhani kwa hilo tu amshukuru Mungu

Si ku ile watu walipo kuwa wana furahi wizkid kumshinda diamond kwenye MAMA, nilijua tuu kuwa leo pia Ali ata kosa. Kwa hiyo hata skuwa na shida. Sema Ali aendelee kukaza may be ipo siku

* wizkid kastahili nampa hongera
 
Eti huna team[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Stunter, MO11, peninsula, iceman 3D na hance mtanashati mnajulikana. sema kila siku mnasema hamna team[emoji13] [emoji13]
huo ni uchochezi, mi mwenyewe sina team [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].

Sema tukio la leo limenifurahisha tuu.
[emoji125]

*bas haijawa bahat yetu watanzania aaahahahahahaha!
 
Back
Top Bottom