Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Mimi nikisikia msanii yoyote wa Tanzania aliyekuwa anashabikia CCM mwaka jana kwenye kampeni ili watanzania tusome namba AKISHINDWA KUPATA TUZO HUWA NAFURAHI SANA.
Naona furaha yangu leo ni kubwa sana, hakuna cha Kiba wala Mondi, wote wana haha tu. Na bado, huu ni mwanzo tu.
Naona furaha yangu leo ni kubwa sana, hakuna cha Kiba wala Mondi, wote wana haha tu. Na bado, huu ni mwanzo tu.