Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Me and I yupo wapi mkuu?huo ni uchochezi, mi mwenyewe sina team [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].
Sema tukio la leo limenifurahisha tuu.
[emoji125]
*bas haijawa bahat yetu watanzania aaahahahahahaha!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti huna team[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Stunter, MO11, peninsula, iceman 3D na hance mtanashati mnajulikana. sema kila siku mnasema hamna team[emoji13] [emoji13]
ni kweli maana huyo jprazzah tulikua hata hatumjuiHapo ndio ujue diamond platnumz ana fan base kubwa, jah preyhah wa Zimbabwe amesema moja ya sababu iliyochangia yy kushinda tuzo ya MTV mwaka huu ni collabo aliyoifanya na diamond platnumz (aliandika ktk page yake insta) , ukija kwa akothee kushinda tuzo mbili AFRIMMA na AEA kumechangiwa kwa kiasi fulani na diamond platnumz, najua hamtakubali ila effects ya diamond platnumz ni kubwa sana, Pata picha mwaka jana yy alishinda tuzo MTV EMA AFRICA na WORLDWIDE pamoja na upinzani wa team wema, team joketi, team kiba na team UKAWA (sababu aliisapoti ccm) lkn akashinda. Huu upuuzi wenu mliouanzisha wa kumshusha diamond platnumz ili kumpandisha kiba leo ndio umewagharimu na utaendelea kumgharimu kiba
Kiba aongeze bidii....kakusanya tm Wema na tm Jokate ila bado haijamsaidia kiivyo.Soooo
[emoji3] [emoji1] [emoji2] ...komando kipensi
Maskini kimando kipensi jana yenye shutu imembana hata kunyoosha mkono kashindwa n kura zote walizokuwa wanapiga hii team ya babu kiba wamekufa tuzo
Baada ya suti oversize, sasa kashonewa undersize... Sallam SK lazima alipita na kitambaa this time.
Maskini kimando kipensi jana yenye shutu imembana hata kunyoosha mkono kashindwa n kura zote walizokuwa wanapiga hii team ya babu kiba wamekufa tuzo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] eti undersize nilichogundua huyu jamaa mambo ya swaga na umodo yamempita pembeniBaada ya suti oversize, sasa kashonewa undersize... Sallam SK lazima alipita na kitambaa this time.
[emoji3] [emoji1] [emoji2] ...komando kipensi
ππππ
Maskini kimando kipensi jana yenye shutu imembana hata kunyoosha mkono kashindwa n kura zote walizokuwa wanapiga hii team ya babu kiba wamekufa tuzo