MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
kabisa aiseeeWizkid next level yule aisee namkubali sana
kabisa aiseee
diamondnihabarinyingine kwa kina rich mavoko lkn sio WizkidBado mnaye tu #Diamondnihabarinyingine!
jamaa anapiga kimyakimya lkn mtu haujutii hela yakoYuko kimya hana bwembwe ka za kina Davido ila mambo yake si mchezo
diamondnihabarinyingine kwa kina rich mavoko lkn sio Wizkid
heshima imepokelewa,asanteNi mawazo yako hakika nayaheshimiwe! I choose to ignore.
kwani ww ulionaje mzeeKwani walikua wanashindana?
kwani ww ulionaje mzee
walikua wanashinda lkn n vigumu sana baba kushindana na mtoto,lazima mtoto ataumia tuuMi sikwepo ndo maana nimekuuliza wewe mtoa taarifa
sasa sijui nani hapa aende shule?....wameliona HILO na........ hiyo HIKO mikononi........maana HALICHOFANYA. ........jana MUSIYEMPENDA kachukua.........
USHAURI:
Nenda kwanza shule halafu uje hapa