MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Kwa wale tuliobahatika jana kuwepo pale Leaders nadhani tulijisikia vibaya sana kuona mtoto wa nyumbani Diamond bin Laden alivyofanya show substandard ukilinganisha na Wiz Kid.
Kiukweli Diamond alishindwa tumia uwanja wa nyumbani na hivyo kumpa points kibao Wizkid. Wizkid alimfunika jamaa kuanzia stage, energy aliyokuanayo, shangwe, bila shaka hata hela aliyopewa kabla ya Wizkid kupigilia msumari wa mwisho kwa kurudia wimbo wake wa Ojuelegba.