Wizkid amtolea uvivu shabiki wa Tanzania aliemtukana

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Baada ya Mtv ema kumpatia Alikiba tuzo ya african act kutoka kwa Wizkid ,mashabiki wa Tanzania hasa wa Alikiba wamevamia ukurasa wa Instagram wa star huyo wa Nigeria na kumtukana.
Leo Wizkid ameshindwa kuvumilia baada ya shabiki mmoja kumtukania mama yake.

Watanzania sijui nani katuroga huko instagram
 
hahahaaaaa ila tusi lake limemaliza kila kitu
hadi prezdaa wetu?
hapana atakua hajamaanisha wote
 
Ally kiba umetuaibisha sana
mimi ndio napata zaidi aibu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaaa chizi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…