Wizkid amtolea uvivu shabiki wa Tanzania aliemtukana

Msipo angalia mtawafitinisha hata hawa wasanii kwa matimu yenu ya kipumbavu kama hivi huuu ni ujinga kama nyie wasanii msipo ukemea hamtafika kokote kabisa! It's true African we needs to be colonized again as Trump says!
 
aiseee Alikiba na mashabiki wake wanalitia aibu taifa sasa
 
kama ni account yake halisi...Huyo mshabiki na huyo wizkid akili zao wote sawa...
 
Inasikitisha sana kiukweli

Matusi ambayo jamaa kamtukana wizkid sio fresh kabisa....... Licha ya kujihaibisha huyo jamaa ila pia ametuhaibisha na tumeonekana kama washamba ambao social network zinatusumbua na tumeonekana maboya kwa ujinga wa mtu m1.......

Huyu jamaa kiukwel achukuliwe hatua ni mpuuzi sana na ni mchonganish, aliyoyafanya ni zaid ya uchawi........
 
Apo wanamharibia kibakuli wao kukanyaga nigeria itakua ngumu hata collable na wiz haiji tokea soko la mziki kwa alishushwa litakua ngumu west africa afu mnatuaibishaa jamani acheni kulilia tuzo
 
Manina zake...! Ngoja aje hapa fiesta 2017, lazima tumsakazie Ali na Abdu Kiba wamalizane nae.
unapata nini kumtukana mtu ambae hakujui na hata robo ya mafanikio yake hujayafikia?
 
huyo bila shaka ni mange kimambi na account zake lukuki huko instagram anazozitumia kutukana watu.
 
Maono: Hao wanaotukana kwenye account ya Star boy SIO mashabiki wa King Kiba
Endeleeni tu,kila upuuzi wenu mnawapa WCB,wakati hata Wizkid mwenyewe anajua aliyekuwa analilia tuzo ni nani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…