vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,624
HahahahahaManina zake...! Ngoja aje hapa fiesta 2017, lazima tumsakazie Ali na Abdu Kiba wamalizane nae.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahaManina zake...! Ngoja aje hapa fiesta 2017, lazima tumsakazie Ali na Abdu Kiba wamalizane nae.
Mkuu unaelewa maana ya tanzanian??Ndio alichokitafuta na amekipata thats all.
*Tanzanian maana yake ni mtanzania tena huyo huyo aliemtukana.Mkuu unaelewa maana ya tanzanian??
hahahaaaaa ila tusi lake limemaliza kila kitu
hadi prezdaa wetu?
hapana atakua hajamaanisha wote
hata sjui aisee naomba tafsiri mubashara.Mkuu unaelewa maana ya tanzanian??
Safari bado ni ndefu
mnooooSafari bado ni ndefu
unapata nini kumtukana mtu ambae hakujui na hata robo ya mafanikio yake hujayafikia?Manina zake...! Ngoja aje hapa fiesta 2017, lazima tumsakazie Ali na Abdu Kiba wamalizane nae.
tembelea page ya wizkid sio huyo tuMaono: Hao wanaotukana kwenye account ya Star boy SIO mashabiki wa King Kiba
huyo bila shaka ni mange kimambi na account zake lukuki huko instagram anazozitumia kutukana watu.
Bali mashabiki wa naniMaono: Hao wanaotukana kwenye account ya Star boy SIO mashabiki wa King Kiba
Endeleeni tu,kila upuuzi wenu mnawapa WCB,wakati hata Wizkid mwenyewe anajua aliyekuwa analilia tuzo ni nani.Maono: Hao wanaotukana kwenye account ya Star boy SIO mashabiki wa King Kiba