Inavyoonyesha wewe mtuhumiwa wa undezi huuAlly kiba umetuaibisha sana
mimi ndio napata zaidi aibu
King asingekomalia tuzo hayo yote yasingetokeaBaada ya Mtv ema kumpatia Alikiba tuzo ya african act kutoka kwa Wizkid ,mashabiki wa Tanzania hasa wa Alikiba wamevamia ukurasa wa Instagram wa star huyo wa Nigeria na kumtukana.
Leo Wizkid ameshindwa kuvumilia baada ya shabiki mmoja kumtukania mama yake.
View attachment 432474
Watanzania sijui nani katuroga huko instagram
Daimondi kakupa nini?Ally kiba kakupa nini
Mbona mkiharibu mnapend sana kuhusisha mashabiki wa domo na upumbavu wenu nyie c ndo mlikuw mnakesha kulalamika kupokwa ushindi kwny page ya wiz asa iv mnageuza kibao kuwa ni mashabiki wa domo....akili zenu ndogo sana kama boss wenu pumbavudaah huyo mshkaji kazingua sana yn, sasa hayo matusi wizkid kawakosea nin, afu hii michakato ndo kujifungia connection bila reason, f***k u team diamond!
good musicDaimondi kakupa nini?
Kiba kanipa the best music.good music
huu anaowatesa bado ni good hajafika hata better siku akitoa best mtajitoboa masikioKiba kanipa the best music.
Huyu siyo shabiki wa kiba,,, fanya hivi, ingia kwenye account yake utakutana na picha kibao za diamond na tiffa, ,hakuna hata picha moja, hata moja ya alikiba,, amepost mpaka picha ya simba,, kwa hiyo msiseme ni Team alikiba,,,aiseee Alikiba na mashabiki wake wanalitia aibu taifa sasa
AameenMbona mkiharibu mnapend sana kuhusisha mashabiki wa domo na upumbavu wenu nyie c ndo mlikuw mnakesha kulalamika kupokwa ushindi kwny page ya wiz asa iv mnageuza kibao kuwa ni mashabiki wa domo....akili zenu ndogo sana kama boss wenu pumbavu
Ni ulimbukeniHuyu siyo shabiki wa kiba,,, fanya hivi, ingia kwenye account yake utakutana na picha kibao za diamond na tiffa, ,hakuna hata picha moja, hata moja ya alikiba,, amepost mpaka picha ya simba,, kwa hiyo msiseme ni Team alikiba,,,
Upo sahihi mkuu,mimi wew na prezdaa hatujahusika kwenye hilo tusi bali linamhusu huyo huyo aliyeanza kumtusi Wizkid.*Tanzanian maana yake ni mtanzania tena huyo huyo aliemtukana.
*Msitumezeshe sumu wakuu tukatengeneza chuki.
*Mimi, wewe na prezidaa sote hatuhusiki na tusi hilo