Wizkid amtolea uvivu shabiki wa Tanzania aliemtukana

Wizkid amtolea uvivu shabiki wa Tanzania aliemtukana

Huyo jamaa mbona kama katumwa amuharibie Kiba??

Kama umeamua kumtukana Wizkid,basi fanya kimpango wako.
 
daah huyo mshkaji kazingua sana yn, sasa hayo matusi wizkid kawakosea nin, afu hii michakato ndo kujifungia connection bila reason, f***k u team diamond!
 
Baada ya Mtv ema kumpatia Alikiba tuzo ya african act kutoka kwa Wizkid ,mashabiki wa Tanzania hasa wa Alikiba wamevamia ukurasa wa Instagram wa star huyo wa Nigeria na kumtukana.
Leo Wizkid ameshindwa kuvumilia baada ya shabiki mmoja kumtukania mama yake.
View attachment 432474
Watanzania sijui nani katuroga huko instagram
King asingekomalia tuzo hayo yote yasingetokea
 
daah huyo mshkaji kazingua sana yn, sasa hayo matusi wizkid kawakosea nin, afu hii michakato ndo kujifungia connection bila reason, f***k u team diamond!
Mbona mkiharibu mnapend sana kuhusisha mashabiki wa domo na upumbavu wenu nyie c ndo mlikuw mnakesha kulalamika kupokwa ushindi kwny page ya wiz asa iv mnageuza kibao kuwa ni mashabiki wa domo....akili zenu ndogo sana kama boss wenu pumbavu
 
Sasa wizkid yeye ako na kosa gan kupokea tuzo, c bora angewatukana hao MTV
 
aiseee Alikiba na mashabiki wake wanalitia aibu taifa sasa
Huyu siyo shabiki wa kiba,,, fanya hivi, ingia kwenye account yake utakutana na picha kibao za diamond na tiffa, ,hakuna hata picha moja, hata moja ya alikiba,, amepost mpaka picha ya simba,, kwa hiyo msiseme ni Team alikiba,,,
 
  • Thanks
Reactions: Gut
Mbona mkiharibu mnapend sana kuhusisha mashabiki wa domo na upumbavu wenu nyie c ndo mlikuw mnakesha kulalamika kupokwa ushindi kwny page ya wiz asa iv mnageuza kibao kuwa ni mashabiki wa domo....akili zenu ndogo sana kama boss wenu pumbavu
Aameen
 
Huyu siyo shabiki wa kiba,,, fanya hivi, ingia kwenye account yake utakutana na picha kibao za diamond na tiffa, ,hakuna hata picha moja, hata moja ya alikiba,, amepost mpaka picha ya simba,, kwa hiyo msiseme ni Team alikiba,,,
Ni ulimbukeni
 
Siyo shabiki wa kiba, full stop. Ingieni kwenye acc yake, kaeka private,,,.
 
*Tanzanian maana yake ni mtanzania tena huyo huyo aliemtukana.
*Msitumezeshe sumu wakuu tukatengeneza chuki.
*Mimi, wewe na prezidaa sote hatuhusiki na tusi hilo
Upo sahihi mkuu,mimi wew na prezdaa hatujahusika kwenye hilo tusi bali linamhusu huyo huyo aliyeanza kumtusi Wizkid.
 
Back
Top Bottom