Wizkid amtolea uvivu shabiki wa Tanzania aliemtukana

Mtoto akiiba nyama au sukari nyumbani, Mama akirudi bila hata kuulizwa atasema mimi sijadokoa nyama..

Sawa sawa na akili za huyo Omar, fupi kama bao la sungura.
 
Jamani hivi kuna mishahara inatolewa kwa kuwa member Wa hizi timu!?
 
NAOMBA NIWE TOFAUTI KIDOGO
Mi nahisi hiyo siyo AC ya WizKid,
Kwanini wasilioneshe jina lote la Wizkidayo matokeo yake wameficha baadhi ya spelling??
Mi nahisi hiyo ni Ac iliyobadilishwa herufi za katikati ambazo wamezificha
maybe Wizlidayo, Wizfidayo etc..
 
NAOMBA NIWE TOFAUTI KIDOGO
Mi nahisi hiyo siyo AC ya WizKid,
Kwanini wasilioneshe jina lote la Wizkidayo matokeo yake wameficha baadhi ya spelling??
Mi nahisi hiyo ni Ac iliyobadilishwa herufi za katikati ambazo wamezificha
maybe Wizlidayo, Wizfidayo etc..
 
Yaani mtu ajitanabaishe eti katumwa na Ali Kiba kumtukana Wizkidayo, bila shaka huyo ni TEAM WASAAFI..

Hapo akifanya propaganda za Ufipa
Punguza usukule wa Lumumba wewe kima
 
Kamati ya figisu figisu kutoka madale hiyo
 
Apo wanamharibia kibakuli wao kukanyaga nigeria itakua ngumu hata collable na wiz haiji tokea soko la mziki kwa alishushwa litakua ngumu west africa afu mnatuaibishaa jamani acheni kulilia tuzo
Sema waliotumwa wamejitahidi kumuharibia kiba can't you see?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…