KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,816
Jamaa ni taila.sasa matusi yote hayo ya nn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi atakuwa Mange tuu...ndo zake hizo
Punguza usukule wa Lumumba wewe kimaYaani mtu ajitanabaishe eti katumwa na Ali Kiba kumtukana Wizkidayo, bila shaka huyo ni TEAM WASAAFI..
Hapo akifanya propaganda za Ufipa
Mkuu umeshindwa kutegua mtego mdogo kama huo?aiseee Alikiba na mashabiki wake wanalitia aibu taifa sasa
Sema waliotumwa wamejitahidi kumuharibia kiba can't you see?Apo wanamharibia kibakuli wao kukanyaga nigeria itakua ngumu hata collable na wiz haiji tokea soko la mziki kwa alishushwa litakua ngumu west africa afu mnatuaibishaa jamani acheni kulilia tuzo