kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,080
- 4,914
Mmmh kumebuma vipi wakati nigeria kila baada hazipiti 20 kidogo inapigwa kwny vituo tofauti vya radio na TvTatizo anapenda u star hafu hakula ujana naona bongo kaupata ustar alioutaka naona kwa p square kilibuma wa Nigeria hawashobokei ujinga.