The Dark Father
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,144
- 1,408
Lengo la SEX dolls ni SEX...50% ya watoto wanaozaliwa kila Leo hospital[WA-KIKE]
35% ya watoto wanaozaliwa kila Leo hosptal[WA-KIUME]
Wanaobaki hufa kwa7b mbalimbali kipind wanazaliwa.
WANAWAKE WANAZID ,WANAUME TUNAPUNGUA.....Nini HAJA na LENGO la SEX DOLL? kwa wanaume
Mbona kuna chaputaMtu na akili yako unafanya sex na mdoli. Watu wana roho ngumu
Ila ndo waliokuletea dini. Just sayin...Mwenyezi Mungu, tunusuru na haya Mabalaa ya Dunian.
Tunapoelekea ndio kubaya zaidi tofauti na tunapotoka Sasa.
Wazungu wanamlengo tofauti sana na hii Sayari ya Dunia.
Duuh nimecheka sana! uko na akili ya kibiashara !Ila unaweza kununua huo mdoli kwa 5m then unaupeleka ambiance unaanza kukodisha elfu kumi goli moja italipa sana!
Kuna ya Japan yana kila kitu ulichosema...yana stimu sawa na mwanamke?? yana miguno na kuhangaika hangaika kuonesha mziiki umekolea???
cc Smart911
Duuh nimecheka sana! uko na akili ya kibiashara !Ila unaweza kununua huo mdoli kwa 5m then unaupeleka ambiance unaanza kukodisha elfu kumi goli moja italipa sana!
Duhhh.. pia yana points of weakness??Kuna ya Japan yana kila kitu ulichosema...
Yana Artificial Intelligence ili yawe yana tabia dynamic.
... Yah. Im an expert [emoji6]
Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Hahah... Sijui.
Dhambi kubwa mnoMie nina swali moja hv ukilitia hili dude unapata dhambi?
Hii post yako imemdhalilisha mahondaw
Dini yangu aijaletwa na wazungu.Ila ndo waliokuletea dini. Just sayin...
Mwenyezi Mungu, tunusuru na haya Mabalaa ya Dunian.
Tunapoelekea ndio kubaya zaidi tofauti na tunapotoka Sasa.
Wazungu wanamlengo tofauti sana na hii Sayari ya Dunia.
kwahiyo bei ingekuwa affordable unge shiriki kungoneka na toysHata mimi nafikiri wamepanga hii bei ili kutukomoa, hasa sisi watu wa mshahara wa kima cha chini. Haiwezekani kabisa, hii sio haki.
usihau utakuwa unamsafisha baada ya kunyegeka nayeBEI LAZIMA IWE JUU maana mdoli haendi bridi, humpi nauli, unampodoa unavyotaka na gemu unapiga hadi we uchoke...mie nipeni link nifanye order
Kwani wazungu Mungu wao nani na wewe Mungu wako nani?Sasa unaongea Mungu atunusuru, halafu unawasema vibaya wazungu wenye Mungu wao.