Wizkid ashangazwa na bei ya midoli ya ngono ‘Sex Dolls’

si tunaweza kuchanga watu watano tukanunua mdoli mmoja..kwani na wenyewe una wivu au??
 
50% ya watoto wanaozaliwa kila Leo hospital[WA-KIKE]

35% ya watoto wanaozaliwa kila Leo hosptal[WA-KIUME]


Wanaobaki hufa kwa7b mbalimbali kipind wanazaliwa.

WANAWAKE WANAZID ,WANAUME TUNAPUNGUA.....Nini HAJA na LENGO la SEX DOLL? kwa wanaume
Mkuu nadhan ni mipango yao hawa wa NEW WORLD ORDER wanataka kutupunguza kwa kasi kubwa maana mdoli hauzai...
 
Kahaba unabadilisha lakini leo mrefu kesho mfupi au mwemba na mnene hilo limdoli hilo hilo kila siku utalichoka kitu hata haliongei halina miguno
Kweli....mdoli mdoli....yaani hamna tofauti na kutumia mkono tu.....Hapo wamechemka.....hivi mdoli hata kusema mambo hamna..khaa
 
Ngoja tusubirie midoli ya mitumba, naamini wakishaitumia wakaichoka watatuletea tu huku Africa tutainunua kwa bei poa midoli used.
 
Heeeeeh makubwa madogo yatakua na wenyewe
Nilijua inauzwa ulaya tu hadi Afrika!!
Soon yatafika huko kwenu bukoba!! Manake nyie wahaya kwa kulowesha magodoro mko vizuri!! Ni vyema sasa mkapata mshidani wenu
 
Bongo haipo maana huu mwaka umeanza nimeotea mademu kama 6 lkn wote mabwawa hii midoli naamini itakuwa poa
 
Bongo haipo maana huu mwaka umeanza nimeotea mademu kama 6 lkn wote mabwawa hii midoli naamini itakuwa poa
 
Ina maana hii midoli nayo inadeka na kulia kimahaba kabisa na mbwembwe zooote zile wanazo??
 
Duuhh lakini ukipiga esabu toka umeanza kula malaya mbona zaidi ya mil10 sababu hamu haiishi kila siku utanunua.hata mke ndani ana gharama kubwa kuliko hilo dol la mil5

!
!
Wana kitu cha ziada kuliko midoli
 
Duuhh lakini ukipiga esabu toka umeanza kula malaya mbona zaidi ya mil10 sababu hamu haiishi kila siku utanunua.hata mke ndani ana gharama kubwa kuliko hilo dol la mil5
Na bei ya condom plus magonjwa ya zinaa
 
Ukisikia aaaagh, Jua limempata. wanunuaji utawajua tu!!
 
Hivi wanakodisha iyo kitu hata usiku mmoja??? nilitaka nikajaribu kugegeda nisikie iko vipi iyo mbunyee... uzuri unaligeuza style yeyote, unapiga mzigo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…