Wizkid, Diamond na Mr. Flavour waula, kuandika historia Africa

[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
mimi nna element ya ubishi mbayaaa.. ila ngoja nisiharibu thread tuendelee kuchangia kwa upendo
 
Hivi kwanini mwanzake hapati madili ya heshima kama haya? Naona msaada wa kuzomea Chibu haukumbufaisha.

Tusubiri KTMA itakuja na hila gani.
 
Hii itatisha balaa, ni first step ya kuingiza African music soko la nje.
Watu hua wanam~underestimate sana Platnumz ila ni mtu mwenye focus ikija kwenye swala la music, na sa hivi ashaanza kuiga mambo ya DonJazzy Mavin Records kusign wasanii kwenye label ya WCB, miaka kadhaa baadaye atakua na pay moja ya hatari sana.
 
Diamond anajua kutumbuiza live? Zile za mikono juu mara twende kwa kizungu keshajifunza?

Go domo.. go!
Wenzako huko Nigeria wanamtofautisha Diamond na Davido, wanasema uzuri wa Diamond Ni Performer..
 
Hivi kwanini mwanzake hapati madili ya heshima kama haya? Naona msaada wa kuzomea Chibu haukumbufaisha.

Tusubiri KTMA itakuja na hila gani.
Mwenzake hataki hizi mambo, ndo maana baada ya ile project kubwa kabisa ya Music iliyowaweka Mastar wa Africa kipindi kile Pamoja na R Kelly! Ilipoisha akarudi kucheza na Dada nyumbani, Ana aleji na hizi international music project.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…