Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,575
- 25,619
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]We jamaa bhana, unajitahidi kuwaondoa watu kwenye mada kisa katajwa DIAMOND,mbona haujiulizi kuwa Mr. Flavor au WizKid kama ni zaidi ya Davido ......au ni vile tulishazoea kuwa nyuma basi kila kitu unajiona haustahili ......SASA WEWE ENDELEA KUUGULIA KAMA DAVIDO YUPO JUU YA DIAMOND AU LAA,ILA TUNACHOKIJUA DIAMOND NI MMOJA KATI YA WASANII WATATU WAKUBWA AFRICA WALIOCHAGULIWA KUTUMBUIZA KTK SHOW HIYO.NDIO IMESHAKUWA HIVYO UNAMPENDA AU UMPENDI KESHAMPITA NA WALA HATOMFIKIA KAMWE HUYO UNAYETAKA WEWE AWE.
mimi nna element ya ubishi mbayaaa.. ila ngoja nisiharibu thread tuendelee kuchangia kwa upendo