Awe makin wakina Tale wasije wakampiga ndere kama walivyompiga Neyo hadi wakafanya collabo kirahisi
😀😀😀😀😀😀 dashKwa uyu dogo hakika narudia enzi zangu,nitachoma jasho la mwarabu mpaka hapo mjini kwenu ili nimshuhudie Star Boy namuelewa sana uyu kid duh hawa wanasiasa wamalize mambo yao kwa amani usije kuta hiyo tarehe niko mpakani nasaka hifadhi maana seleka halina mwenyewe acha tu.
Kwa uyu dogo hakika narudia enzi zangu,nitachoma jasho la mwarabu mpaka hapo mjini kwenu ili nimshuhudie Star Boy namuelewa sana uyu kid duh hawa wanasiasa wamalize mambo yao kwa amani usije kuta hiyo tarehe niko mpakani nasaka hifadhi maana seleka halina mwenyewe acha tu.
Kaz kwenu mliompgia kura mkamsahau king wenu
East Africa radio na king Solomon company
Kwa uyu dogo hakika narudia enzi zangu,nitachoma jasho la mwarabu mpaka hapo mjini kwenu ili nimshuhudie Star Boy namuelewa sana uyu kid duh hawa wanasiasa wamalize mambo yao kwa amani usije kuta hiyo tarehe niko mpakani nasaka hifadhi maana seleka halina mwenyewe acha tu.
Msanii wa kimataifa Wizkid anategemea kufanya show ya kufa mtu siku ya 31 October 2015 show itwayo Wizkid in Dar katika viwanja vya leaders club.
Hii pia ni fursa kwa wasanii wa bongo fleva kufanya collabo na one among the talented artist in Africa na kupenyeza mziki wa bongo fleva kimataifa Kama Mr Icon Diamond Platinumz