kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,080
- 4,914
Msanii wa kimataifa Wizkid anategemea kufanya show ya kufa mtu siku ya 31 October 2015 show itwayo Wizkid in Dar katika viwanja vya leaders club.
Hii pia ni fursa kwa wasanii wa bongo fleva kufanya collabo na one among the talented artist in Africa na kupenyeza mziki wa bongo fleva kimataifa Kama Mr Icon Diamond Platinumz