Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,319
Wahuni nna gheto languMi pia namkubali sana mwamba geu, chuma nondo steel wire, kuliko man fongo (promo zinambeba sana). Sholo anajua, magoma kama sembe tembele, sayona, sina msaada, panya, geto, kazi kazi (kolabo na prof jize) zote ni noma. Ana amsha amsha sana kiukweli
Mashosti wanalala
Masela wanalala...
Hivi watu wanaielewa Singeli kweli au wanafurahia kelele? Hakunaga kama Mwamba Geu...