Shule za ufundi si zipo mkuu??Lengo lenu watoto wa maskini wasome somo la historia huku watoto wenu wasome physics na chemistry.
Futa Ilo somo la historia kabla halijaanza weka hapo masomo ya ufundi katika kila secondary itakuwa bora zaidi.
Somo la historia bila ujuzi ni mzigo kwa mwanafunzi.
Nimesema weka somo la ufundi katika kila shule ya sekondari na sio shule chache.Shule za ufundi si zipo mkuu??
Wewe mlevi wa makangara kwa akili yako ndogo unadhani Chadema itashinda hata kama malaika washule chini?Nje ya Mada,kwanini kila kitu kuilaumu Chadema
Chadema inasema wekeni tume huru ya uchaguzi ndio tujue.