Woga,Wivu,Chuki,Utegemezi unawatafuna Bongo Fleva

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Mod Msiunganishe huu Uzi tafadhari.

Kutokana na kile nilichokiona jana kuhusu Diamond na Wizara ya Habari,Sanaa na Utamaduni kumuandalia kikao Diamond na timu yake inadhihirisha waziwazi kuwa wasanii wa Bongo fleva hawana umoja.

Hivi karibuni mtakumbuka kuwa kumetokea upepo wa kufungiwa nyimbo za wasanii hao wa muziki lakini aliyejitokeza na kupiga kelele zilizowachoma BASATA na Waziri Muhusika,ni Diamond peke yake huku wasanii wengine wakijitenga na kusemea pembeni huku msanii kama Nay wa Mitego muda mfupi baada ya tamko la Waziri Mwakyembe na TCRA juu ya alichokisema CEO wa WCB,Diamond akapost kijembe kwa Diamond kwa mipasho kama ya Kina Isha mashauzi ...."Pale unapojifanya mjuaji" maneno yaliyo ambatana na picha ya katoto kamebanwa na mti akimaanisha Diamond kujifanya mjuaji kwa kumpinga shonza hadharani kumemfanya abanwe na Serikali."
Post ile ya Nay imeonyesha us.nge wa wasanii wa bongo fleva....wivu....chuki. .woga....utegemezi yani wanasubiri wasemewe na mtu kwenye haki zao au wanafurahia pale mwenzao anapokuwa kwenye wakati mgumu.

Mwisho kabisa Diamond atabaki kuwaonyesha njia wasanii wenzake kwa kila kitu,sasa ujuaji na kelele zake zimesaidia mpaka kupelekea serikali kumuandalia kikao maalumu cha upatanishi,wakati wengine wakiendelea kulialia pembeni.

Wito kwa Wasani:Msisubiri mtu aje awasemee mnapoonewa shikaneni mikono piganieni haki zenu,hakuna wa kuisemea sanaa yenu isipokuwa nyie wenyewe sio mpaka UVCCM waje kuwasemea la sivyo mtazidi kuonewa na kuona kama Diamond anapendelewa vaeni ujasiri,tumieni vipawa vyenu kukemea mabaya mnayotendewa...ila mkiendelea na vichuki,viwivu na woga wenu sitoshangaa kuona mnaendelea kuburuzwa...mtakuja kushangaa na siku Clouds watakapokuja kukaa meza moja na Diamond na kufikia muafaka huku nyie mkiendelea kulipwa laki mbili kwenye show za Fiesta.

Ni mimi Chinga One wa Jamii Forum.
 
Kweli wasanii wetu ni waoga na mawaziri wetu ni waoga pia.
Waliwafungia wasanii wengi iweje wakutane na Diamond pekee?
 
Kwakweli bongo nyoso,kumbe ubabe nao unasaidia,DIAMOND asinge payuka mambo yangezidi haya ya kufungiwa ,naona hadi wasanii wangefukuzwa nchini kabisa wakitoa nyimbo zinazosemwa hazina maadili..
 
Mod Msiunganishe huu Uzi tafadhari.

Kutokana na kile nilichokiona jana kuhusu Diamond na Wizara ya Habari,Sanaa na Utamaduni kumuandalia kikao Diamond na timu yake inadhihirisha waziwazi kuwa wasanii wa Bongo fleva hawana umoja.

Hivi karibuni mtakumbuka kuwa kumetokea upepo wa kufungiwa nyimbo za wasanii hao wa muziki lakini aliyejitokeza na kupiga kelele zilizowachoma BASATA na Waziri Muhusika,ni Diamond peke yake huku wasanii wengine wakijitenga na kusemea pembeni huku msanii kama Nay wa Mitego muda mfupi baada ya tamko la Waziri Mwakyembe na TCRA juu ya alichokisema CEO wa WCB,Diamond akapost kijembe kwa Diamond kwa mipasho kama ya Kina Isha mashauzi ...."Pale unapojifanya mjuaji" maneno yaliyo ambatana na picha ya katoto kamebanwa na mti akimaanisha Diamond kujifanya mjuaji kwa kumpinga shonza hadharani kumemfanya abanwe na Serikali."
Post ile ya Nay imeonyesha us.nge wa wasanii wa bongo fleva....wivu....chuki. .woga....utegemezi yani wanasubiri wasemewe na mtu kwenye haki zao au wanafurahia pale mwenzao anapokuwa kwenye wakati mgumu.

Mwisho kabisa Diamond atabaki kuwaonyesha njia wasanii wenzake kwa kila kitu,sasa ujuaji na kelele zake zimesaidia mpaka kupelekea serikali kumuandalia kikao maalumu cha upatanishi,wakati wengine wakiendelea kulialia pembeni.

Wito kwa Wasani:Msisubiri mtu aje awasemee mnapoonewa shikaneni mikono piganieni haki zenu,hakuna wa kuisemea sanaa yenu isipokuwa nyie wenyewe sio mpaka UVCCM waje kuwasemea la sivyo mtazidi kuonewa na kuona kama Diamond anapendelewa vaeni ujasiri,tumieni vipawa vyenu kukemea mabaya mnayotendewa...ila mkiendelea na vichuki,viwivu na woga wenu sitoshangaa kuona mnaendelea kuburuzwa...mtakuja kushangaa na siku Clouds watakapokuja kukaa meza moja na Diamond na kufikia muafaka huku nyie mkiendelea kulipwa laki mbili kwenye show za Fiesta.

Ni mimi Chinga One wa Jamii Forum.
Mkuu hizi ni tabia za wa Tanzania wengi sana, ndio maana kuna watu hawawezi sifia na kuna wengine hawawezi kosoa kabisa serikali
 
Mkuu ney ni MSENGEREMA TOKA KITAMBO
 
Mods nyuzi iunganishwe

Napita tu naelekea kuulizia skendo au albam kipi kimevumaaaa kipi kimeuza dah

Imejipost
 
Album sio kwa ajili ya waswahili ndio maana haiuzwi madukani.. mauzo uliza mitandaoni... hizo another level.....

Hahahaha visingizio mia. Halafu watu wanataka tuwe wazalendo wakati kijana katokea uswahili kwetu ila albam tunaambiwa hatuuziwi waswahili yebaaaa
Album kaulize itunes watakupa majibu mswahili km wewe huwez kununua ile album
Happy to read same response from two different ID awesome
Album sio kwa ajili ya waswahili ndio maana haiuzwi madukani.. mauzo uliza mitandaoni... hizo another level.....
 
Ney sikuhizi kawa hovyo
Au zile nyimbo za mwanzo alikua anatungiwa??
 
Hahahaha visingizio mia. Halafu watu wanataka tuwe wazalendo wakati kijana katokea uswahili kwetu ila albam tunaambiwa hatuuziwi waswahili yebaaaa

Happy to read same response from two different ID awesome
Acha uzamani wewe....unadhani hizi ni zama za kupeleka album kwa MAMU store agonge copy? Huu ni ulimwengu wa Digital Marketing mzee baba
 
Ubunifu ubunifu sio lazima mhindi awasambazie,msanii mwenyewe anaweza buni mbinu ya kuuza hadi mitaani,kwan wcb hawawezi kusanya wasanii wao na mashabiki kama wewe kwa siku moja pale mliman kuuza albam,mnagawana tu maeneo ya dar mbona mtazikusanya pesa za kutosha. Badala ya watu kuongelea mipasho na naibu waziri watakua wanaongelea kazi zake

Congrats digital marketing,vipi keshafikia platinum kama davido?

Naona kma bado hujaelewa ninachojaribu kukumbia
Labda ndo athari za hilo jina unalotumia Numbisa mana jina ni taswira halisi ya uwezo wa mhusika
Anyway let me not waste my bundle to such a lout person....have a nice day
 
Mod Msiunganishe huu Uzi tafadhari.

Kutokana na kile nilichokiona jana kuhusu Diamond na Wizara ya Habari,Sanaa na Utamaduni kumuandalia kikao Diamond na timu yake inadhihirisha waziwazi kuwa wasanii wa Bongo fleva hawana umoja.

Hivi karibuni mtakumbuka kuwa kumetokea upepo wa kufungiwa nyimbo za wasanii hao wa muziki lakini aliyejitokeza na kupiga kelele zilizowachoma BASATA na Waziri Muhusika,ni Diamond peke yake huku wasanii wengine wakijitenga na kusemea pembeni huku msanii kama Nay wa Mitego muda mfupi baada ya tamko la Waziri Mwakyembe na TCRA juu ya alichokisema CEO wa WCB,Diamond akapost kijembe kwa Diamond kwa mipasho kama ya Kina Isha mashauzi ...."Pale unapojifanya mjuaji" maneno yaliyo ambatana na picha ya katoto kamebanwa na mti akimaanisha Diamond kujifanya mjuaji kwa kumpinga shonza hadharani kumemfanya abanwe na Serikali."
Post ile ya Nay imeonyesha us.nge wa wasanii wa bongo fleva....wivu....chuki. .woga....utegemezi yani wanasubiri wasemewe na mtu kwenye haki zao au wanafurahia pale mwenzao anapokuwa kwenye wakati mgumu.

Mwisho kabisa Diamond atabaki kuwaonyesha njia wasanii wenzake kwa kila kitu,sasa ujuaji na kelele zake zimesaidia mpaka kupelekea serikali kumuandalia kikao maalumu cha upatanishi,wakati wengine wakiendelea kulialia pembeni.

Wito kwa Wasani:Msisubiri mtu aje awasemee mnapoonewa shikaneni mikono piganieni haki zenu,hakuna wa kuisemea sanaa yenu isipokuwa nyie wenyewe sio mpaka UVCCM waje kuwasemea la sivyo mtazidi kuonewa na kuona kama Diamond anapendelewa vaeni ujasiri,tumieni vipawa vyenu kukemea mabaya mnayotendewa...ila mkiendelea na vichuki,viwivu na woga wenu sitoshangaa kuona mnaendelea kuburuzwa...mtakuja kushangaa na siku Clouds watakapokuja kukaa meza moja na Diamond na kufikia muafaka huku nyie mkiendelea kulipwa laki mbili kwenye show za Fiesta.

Ni mimi Chinga One wa Jamii Forum.
Haya Madini kuna mpuuzi mmoja kakopi kapeleka kwenye blog yake pambaf
 
Back
Top Bottom