Wolper afunguka pesa itayogharimu harusi yake

Anaota huyu
Wasani 4 juu yake ndo itoshe 10mil,au marekani ya moshi[emoji23] [emoji23]
 
Ila kiukwel wasanii nak ni binadamu wana hisia kwel ukiangalia hali ya huyu dada anataman sana ndoa aitwe mke wa fulan lkn kutokana na historia zao wanakosa wanaume wa kuwaoa sababu kila mwanaume mwenye kujiheshim anakua haamin kama ni wife material mwisho wake anaangukia kwa vijana wenye lengo la kumuonja na kumtema ..
 
Kwa kipi ??? Cha kugharamia hapo.
muoaji anaumizwa hapo ndo ajue wasanii wetu hawa tunawaweza wenyewe,ndikumana alimuona uwoya kwa mbwembwe nyingi kajifia kwa preasha dogo njanja anakula mzigo kilaini,mange aliolewa ,mbwembwe kibao km malaika jamaa kamtua marekani katosa.
huyu mwche asindikizwe na mashoga kesho tu tutaskia yuko mtaani jamaa kabwaga,halafu hapo wa mtaani nao wataonja onja
 
Wanajitutumua, kujitangazaaa utadhani wana jipya! Wakijifanya kuishi maisha ya juuu kumbe wa kawaida sana sana. Maisha halisi ya mtanzania wa kawaida sana.
Mambo yao ya kisanii sanii tofauti kabisa na hali halisi ya maisha wanayoishi.
 
Hivi Enginee___ ni mziki tu ndio unampa pesa au ana bi$$ness nyingine?
 
Hivi hizi ahadi wanazotoa waalikwa huwa wanazitimiza? Kama harmonize ameahidi Noah kumpa shilole inakuwa kweli au mbwembwe tu?
 
Halafu baadae waje kulia kulia kama yule[emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Kuna wanaume wenye roho ngumu duniani kama huyu mume mtarajiwa..

Wolper kaliwa mzigo na wanaume zaidi ya 10 wanaojulikana achana na wasiojulikana na bado mtu anatangaza ndoa...seriously
 
Huyu manka nae kujisifia tu kma wastara ila mwisho wa cku hana kitu,bongo movie ni shithole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…