Wolper amwangukia Mkongo

Wolper amwangukia Mkongo

Wolper alienda hapo double tree tena kuomba kugongwa na kurudiwa ila mkongo alichuna hakuja kuongea nae. Tena alimwambia kwa mara nyingine amheshimu kwani ana mtu wake. Siku hiyo Wolper alijipigisha mipicha anakunywa moet na caption ya raha jipe mwenyewe kumbe alikuwa anapunguza stress za kutoswa

Khaaa wewe mrembo una umbea first class....
 
Hahaha box in Dawa amu. Hujui siku hizi umbea uko vidoleni? Ukisutwa ujinga wako. Tumehamia digital idara ya umbea nayo haikubaki nyuma. Alafu hela nasikia anahonga kabwana Mdogo flani hivi

Hako ka bwana kadogo ni calisah?mwenyewe anagombewa sijui ana nini....
 
Last edited by a moderator:
Siku yenyewe ndio hii alikuwa anajitwika mamoet hapo hotelini baaba ya mkongo kukataa kushuka kuongea nae
amu ameuliza hiyo bei ni sh.ngapii kwiii kwiiii tujue ni kilevi au juice
 
Last edited by a moderator:
Hahaha box in Dawa amu. Hujui siku hizi umbea uko vidoleni? Ukisutwa ujinga wako. Tumehamia digital idara ya umbea nayo haikubaki nyuma. Alafu hela nasikia anahonga kabwana Mdogo flani hivi

Huyu Wolper ajiandae kumpokea Laveda amsage mpaka achizike,mkongo hua anafikia hotel kumbe ndio wanamiminika hapooo aiseeee pesa hiziii, wema mkongo,lulu mkongo,wolper mkongo
 
Last edited by a moderator:
Siku yenyewe ndio hii alikuwa anajitwika mamoet hapo hotelini baaba ya mkongo kukataa kushuka kuongea nae

Anajitahid kuishi vzur, ila angekuwa na kazi ya maana angependeza zaidi, sema wenyewe kazi umalaya tu na kuuza tigi
 
Huyu Wolper ajiandae kumpokea Laveda amsage mpaka achizike,mkongo hua anafikia hotel kumbe ndio wanamiminika hapooo aiseeee pesa hiziii, wema mkongo,lulu mkongo,wolper mkongo

umemsahau husna naskia ndio yupo zamu kwa sasa
 
Hivi binamu moet ndo kinywaji eksepensivu cha mabongo movie.....
Mbona wakinywa savanna na heineken hawatudolishii.
Inauzwa sh ngapi?

Vitu hadimu lazima wapige navyo picha, k-lynn mda huo anatoa wapi wakat ana uhakika wa maisha mazur mpak anakufa
 
Galisah msomali wanachizika na ule uhandsome,

U handsome gan? Picha tu zinawadanganya, huyo calisah si kasoma kurasin secondary na alifel ndo akaingia kwenye u modo? Wakat huo ananuka mikojo na majasho, siku iz kajua kuvaa anawadanganya watu wakishua wakat maisha yake na kina warumi hawachekani
 
Last edited by a moderator:
umemsahau husna naskia ndio yupo zamu kwa sasa

Huyo wolper ni malaya sana, ye mboo anataka na kusagana anataka, hotel gan nyota tano wolper hajalala nchin ? Ila bi shost safar za china na Dubai simsikiagi kabisa na mwenzie lulu wao mbwe mbwe zao apa dar tu sio kama mama ubaya na kajala, wale ndo malaya first class, wenzangu n mimi apa apa bongo
 
Back
Top Bottom