Wolper alienda hapo double tree tena kuomba kugongwa na kurudiwa ila mkongo alichuna hakuja kuongea nae. Tena alimwambia kwa mara nyingine amheshimu kwani ana mtu wake. Siku hiyo Wolper alijipigisha mipicha anakunywa moet na caption ya raha jipe mwenyewe kumbe alikuwa anapunguza stress za kutoswa
Wenye wanakwambia kwani sura inaliwa?? Mwanaume pesa sura hata mbuzi anayo....ni shiiidddah
Hahaha box in Dawa amu. Hujui siku hizi umbea uko vidoleni? Ukisutwa ujinga wako. Tumehamia digital idara ya umbea nayo haikubaki nyuma. Alafu hela nasikia anahonga kabwana Mdogo flani hivi
Khaaa wewe mrembo una umbea first class....
Hiyo makeup ka jiniii..

Hako ka bwana kadogo ni calisah?mwenyewe anagombewa sijui ana nini....
Hako ka bwana kadogo ni calisah?mwenyewe anagombewa sijui ana nini....
Huyu Wolper ajiandae kumpokea Laveda amsage mpaka achizike,mkongo hua anafikia hotel kumbe ndio wanamiminika hapooo aiseeee pesa hiziii, wema mkongo,lulu mkongo,wolper mkongo
Hivi binamu moet ndo kinywaji eksepensivu cha mabongo movie.....
Mbona wakinywa savanna na heineken hawatudolishii.
Inauzwa sh ngapi?
Galisah msomali wanachizika na ule uhandsome,
Hivi binamu moet ndo kinywaji eksepensivu cha mabongo movie.....
Mbona wakinywa savanna na heineken hawatudolishii.
Inauzwa sh ngapi?
umemsahau husna naskia ndio yupo zamu kwa sasa
umemsahau husna naskia ndio yupo zamu kwa sasa