Wolper amwangukia Mkongo


Kweli kabisa...wenzetu wako mbele sana..kumbe zari ni sembe???
 
Anajitahid kuishi vzur, ila angekuwa na kazi ya maana angependeza zaidi, sema wenyewe kazi umalaya tu na kuuza tigi
Ndio hapo. Hivi hawajui usichana na urembo Una mwisho? Uwoya sidhani Kama hata wa kumpa shikamoo yupo. Laana ya ndikumana inamuandama
 
Hako ka bwana kadogo ni calisah?mwenyewe anagombewa sijui ana nini....

Yani mie hako kamtu hata sikajui manake wolper haeleweki Kama yuko kukoboa, au kutwanga. Yani mchi yumo na ukoboaji kwa mashine yumo
 
Huyu Wolper ajiandae kumpokea Laveda amsage mpaka achizike,mkongo hua anafikia hotel kumbe ndio wanamiminika hapooo aiseeee pesa hiziii, wema mkongo,lulu mkongo,wolper mkongo

Habari za mjini Wema walimchafua tu ila hakuwa kwa mkongo. Chuki ya bm ndo wenzake waliamua kumsambazia sumu
 
Ndio hapo. Hivi hawajui usichana na urembo Una mwisho? Uwoya sidhani Kama hata wa kumpa shikamoo yupo. Laana ya ndikumana inamuandama

Yani nilikua nampenda uwoya lakini vitendo alivyomfanyia ndiku vilinifanya nimchukie hadi leo...na bado hayajamfika
 
Si bora yeye kuliko uwoya jamani...alikua mrembo ila ndio hivyo kafulia hatariii
Nasikia sasa hivi anampa 0713 richie
USO wake unaonesha alivyo choka yani anajiweka uchi ila wapiiii, Mara amposti ndikumana ila ndio hivyo. Unamiuacha mtu kisa maskini unakaa vikao vya strategic planning na Mungu?
 
Ndio hapo. Hivi hawajui usichana na urembo Una mwisho? Uwoya sidhani Kama hata wa kumpa shikamoo yupo. Laana ya ndikumana inamuandama

Yani hata jina lake limeishasahaulika masikioni mwa watu.Alichezea bahati nahisi kila siku anajuta upumbavu alioufanya
 

Zari hela aliikuta kwa ex au baba watoto wale. Ila ndo ameachiwa kila kitu na akili ya kuendeleza Mali anayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…