Wolper amwangukia Mkongo

Cha kufanya auvae ijasiri amuombe msamaha inshalah Mungu atafungua njia

Tatizo wanaendekeza usuperstar sana anaona atajidhalilisha wakati sasa hivi ndio anadhalilika maana kakosa hata pedeshee lakumsitiri au hata kumpa scandal za magazetini ili jina liendelee kusikika
 
Mume wa zari alikua na mchepuko
Unaniudhii kuandika nusu japo sikulipiiiii
Unataka niitiwe kigodoro cha kimataifa cha msuto hahah mume wa zari ndo aliamua kuchepuka naona zari aliamua kuachia akaona isiwe tabu
 
Oooo naeeee si angetafuta mbinu za kumbana mmewee utaacha wangapii wanaume wetu hawaaaa
 
Jamaniii kwani zile hotel nyota tano hujaenda tu siku ukienda ziuliziee bei sawaaaa

Wewe nakwambiaga unapenda umbea ila vitendea kazi huna, kuna Moet Hennesy na Moet shampeni mwaka jana mimi niliuziwa kwa sh 45,000/= sijui kwa sasa maana mimi ni mtu wa bia hiyo niliagiza kwa ajili ya mtu maalum.
 
Sawa Matola nimekusikia unaniambiaga hivyo hivyoo kumbe bei ndogo tu nilidhan pesa nyingiiiiiiiiii
 
Last edited by a moderator:
Wewe nakwambiaga unapenda umbea ila vitendea kazi huna, kuna Moet Hennesy na Moet shampeni mwaka jana mimi niliuziwa kwa sh 45,000/= sijui kwa sasa maana mimi ni mtu wa bia hiyo niliagiza kwa ajili ya mtu maalum.

Hahaha alafu anajiita mtoto wa mjini hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…