Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Nami nilikua najua we ni zamaradi kipindi hicho nawasoma tu sichangiii
Kwa hiyo sio wewe zama etii
Asijiue, na yeye atafute mnyonge amlipizie
Hivi kweli msanii mwenye jina unayefanywa na mapedeshee mjini unaringishia pombe ya 45,000 pombe wakinywaga balimi hawapigi picha
Hahaha Mimi sio mama juh juh muke ya rugemalila mutahaba utamu wa rayc
Mamayo zao kumbe wanatudolishia kwa 45k..
Mie hakyamama nlijua usd 300 au 480.
mwee ushamba mzigo.
Mi nlijua ni ghali kwa Tz maana kila MTU anavyoshobokwa
Hhhhhhaaa,ila malipo hapa hapa huyu anti simpendi huyuuuu
Mi naipenda Amarula tamuje haswa iwe na barafu loooo
Jamani Faraja looo ni kweli madamu
....halafu inaleta nyege balaa.
Usithubutu kuinywa mbele ya baba mkwe, atakushika chuchu.
Niambie humpendi pacha wangu
Mi naipenda Amarula tamuje haswa iwe na barafu loooo
Mmmmhhhh hhhhhhaaaaa
Kukopa ndio zakeee huyoo
Ijaribu, hutaiacha.
Halafu wewe....sijasahau bado
Ye kwanini avuruge miji ya watu kisa wake umemshindaaaa
Amaula tamu jeee hahah ila nyege mshindo sasa unaweza baka meza
Ila mwache akome.
Siku ya kujifungua, twende tukamfungie fundo la mchanga kwenye upindo wa khanga.
Ila mwache akome.
Siku ya kujifungua, twende tukamfungie fundo la mchanga kwenye upindo wa khanga.
Amaula tamu jeee hahah ila nyege mshindo sasa unaweza baka meza