Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Si bora ubake meza wanaweza wakasema umezidisha pombe kuliko kujimeng'enua na kujitia finger....hahahah!!!!!
Kama Laveda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si bora ubake meza wanaweza wakasema umezidisha pombe kuliko kujimeng'enua na kujitia finger....hahahah!!!!!
Anakopa hadi kutengeneza kucha
Hhhhhhaaaaaaa ili iweje madam
Mtoto hatokiiii
Hhhhhhaaaaaaa ili iweje madam
Haahaaa unataka kumuua wewe. Sukumaaaaaaaa kitu wapiiii si mpaka awape taarifa kuwa anaenda leba
Hhhhhhaaaaaaa ili iweje madam
Chupi ya naniKwa mashauzi yake, tutapata tu habari.
Kwani nanilii alivyoenda kuliwa tigo tulijua....watu si walipost chupi yake yenye n'ya insta
Kwangu inaleta NY...ge
Chupi ya nani
Kwangu inaleta NY...ge
Ya anayejiita ndege mnana.
Kala vya watu eti atokee mlango wa nyuma....thubutuuuu....hata hatua hakupiga, kaingizwa kwenye gari watu wakajipigia zao mtungo.
Nali eehh
Sasa ukiwa na jibaba kama mimi namix na Jack Daniel, usipime sebene lake lazima uhamishie majeshi kwangu mazima.
Kama mimi tu.
Mie nikipandishaga mori, nanywa ile huku nachambia Kilimanjaro
Na apo ana pesa chafu, angekuwa kapuku sijui ingekuwaje, mzee ana sura chachu hakunaga
JD, konyagi MTU akizipiga ajue chiu yangu haoni. Mambo ya kupekechwa hadi moto uwake nani anataka
Swadaktaaaaaa!!!!!