Wolper jamani

Wolper jamani

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,620
Reaction score
27,589
Hivi huyu dada alimaliza la saba kweli mbona kuandika kwake ni majanga sana ,mtu una followers milion 3 sijui moja kuandika hivi khaa, si ajifunze kama tu kuandika kwa kutumia keyboardy simu ni hivi je akiandika kwa kalamu si tutakiambiana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
warumi njoo umuone shoga ako
Screenshot_2018-05-09-19-32-00.jpg
 
Kuna harufu naisikia hapa ila kwa kiswahili siwezikuielezea Mama Sabrina....kny kiingereza kuna written English na spoken English.
 
Alivyo cha Pombe utashangaa kaandika hivyo akiwa amekunywa.

Halafu ninachokiona bado anampenda harmo....ajaribu kuendelea na maisha yake... mbona kapita kwa wengi ila kwa harmo ndiyo imekua shida.
 
aliishia form 2 alitoroka home kwao kibaha.."" kaka yangu alikuwaga anatoka na mtoto wa Shangazi yake "" so namjua vyema tu huyo " kahaba""
Sio poa mkuu..maneno makali hayo
 
Back
Top Bottom