Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Hivi huyu dada alimaliza la saba kweli mbona kuandika kwake ni majanga sana ,mtu una followers milion 3 sijui moja kuandika hivi khaa, si ajifunze kama tu kuandika kwa kutumia keyboardy simu ni hivi je akiandika kwa kalamu si tutakiambiana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
warumi njoo umuone shoga ako
warumi njoo umuone shoga ako